WABUNGE WAIPONGEZA TRA KUFUNGUA OFISI YA WALIPA KODI BINAFSI WENYE HADHI YA JUU
Na Mwandishi WetuKamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imeipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kuanzisha Ofisi ya Walipa Kodi binafsi wenye hadhi ya juu hali ambayo itaongeza ufanisi katika kuhudumia kundi hilo ambalo ni wachangiaji wakubwa wa mapato ya TRA. Wakiwa katika ziara ya kutembelea Ofisi hiyo ya Walipa Kodi binafsi wenye hadhi […]
Read More