SERIKALI YA AWAMU YA SITA IMEONGEZA BAJETI KWA ASILIMIA 57.4 KUHUDUMIA MAFUNZO YA UFUNDI STADI.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutambua umuhimu wa kukuza ujuzi kwa vijana imeongeza bajeti ya mafunzo ya Ufundi stadi kutoma Bilioni 54 ya mwaka 2021 hadi kufikia Bilioni 85 ili kutanua fursa zaidi za vijana kunufaika […]
Read More