WAKAZI WA ARUSHA CHANGAMKIENI HUDUMA YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA- DC LONGIDO
Mkuu wa Wilaya ya Longido, Mhe. Salum Kalli, amewataka wakazi wa mkoa wa Arusha kuchangamkia fursa ya kipekee ya kupata msaada wa kisheria kupitia Mama Samia Legal Aid Campaign inayoendelea jijini Arusha. Akizungumza Machi 2, 2025, alipotembelea mabanda ya huduma za kisheria katika viwanja vya TBA jijini Arusha, Mhe. Kalli amesema kuwa kampeni hiyo itadumu […]
Read More