- Ulega aeleza litakavyopunguza kero
Na Mwandishi Wetu, Mwanza

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya ufunguzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) utakaofanyika Juni 19 mwaka huu.
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametoa taarifa hiyo katika mkutano wa hadhara wilayani Sengerema mkoani Mwanza wakati akizungumza mbele ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ambaye yuko ziarani mkoani Mwanza.
Waziri Ulega amewataka wananchi wa Mwanza kujitokeza kwa wingi katika uzinduzi huo wa daraja hilo lenye urefu wa kilometa 3 na barabara zake unganishi zenye urefu wa kilometa 1.66 na linalotarajiwa kuwa refu kuliko yote katika eneo la Afrika Mashariki na Kati.

Ulega alisema kukamilika kwa daraja hilo ni mafanikio ya maono na jitihada kubwa zilizofanywa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na mtangulizi wake, hayati John Magufuli.
Namna pekee ya kuonyesha furaha yetu na shukrani zetu kwa mafanikio hayo ni kwenu wananchi wa Sengerema, mkoa wa Mwanza, Geita, mikoa yote ya kanda ya ziwa na wa Tanzania kwa ujumla kujitokeza kwa wingi kwenye uzinduzi huo. Tunasema siku hiyo asiye mwana basi abebe jiwe.” alisema Waziri huyo ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mkuranga.
Akizungumza katika mkutano huo, Waziri Mkuu alisisitiza umuhimu wa wananchi kujitokeza kwa wingi katika tukio hilo.

“Jitayarisheni kwa wingi kumpokea kiongozi wetu mkuu atakapokuja kulifungua daraja hili Juni 19, 2025 “, alisema Waziri Mkuu.
Ziara ya Waziri Mkuu mkoani Mwanza ni ya ukaguzi wa utekelezaji wa miradi ya maendeleo Ulega alitumia mkutano wa Sengerema kumweleza Waziri Mkuu kuwa kukamilika kwa daraja hilo kutarahisisha huduma za usafiri na uchukuzi katika mikoa ya Kanda ya Ziwa kwa ujumla.
“Watu waliokuwa wanasafiri kwa zaidi ya saa mbili watakwenda kusafiri kwa wastani wa dakika tatu hadi tano, Tunamshukuru Mhe Rais kwa maono na maelekezo yake”, amesisitiza Ulega.

Ameongeza kuwa zaidi ya shilingi bilioni 700 zimetumika katika ujenzi wa daraja hilo linalounganisha mji wa Kigongo na Busisi katika Ziwa Victoria ambalo ni la tatu kwa ukubwa duniani.
Aidha, Waziri Ulega amewahakikishia wakazi wa Wilaya ya Sengerema kuhusu ujenzi wa barabara Segerema – Nyehunge (km 54.5) na Kamanga – Sengerema (km 32) kwa kiwango cha lami Serikali ipo katika hatua za mwisho za kumkabidhi Mkandarasi kazi ya ujenzi huo.
24 Comments
Thanks for sharing this—really made me think differently about the topic.
I learned a lot from this post. Appreciate the clarity and detail!
Кайт сафари Хургада
buy facebook bm account verified-business-manager-for-sale.org
facebook bm account https://buy-business-manager-accounts.org
tiktok ads account for sale https://buy-tiktok-ads-account.org
tiktok ad accounts https://tiktok-ads-account-buy.org
Really appreciate you posting this! Super useful. Keep it up – it’s gonna be awesome! Check my article: https://medium.com/@jamesfrom/how-to-quickly-index-a-page-in-google-a-comprehensive-guide-01b83d6b20bb !
tiktok ads agency account https://tiktok-ads-account-for-sale.org
tiktok ads agency account https://tiktok-agency-account-for-sale.org
buy tiktok ads accounts https://buy-tiktok-ad-account.org
Hacklink Panel buyhacklink.com backlink buyhacklink.com https://kusadasiescorttr.com/
hacklink market buyhacklink.com 10 bin buyhacklink.com https://www.kusadasiteksex.com/
Premium Backlinkler buyhacklink.com buy link buyhacklink.com https://kusadasiescorttr.com/
Hacklink Market buyhacklink.com sonuç odaklı buyhacklink.com https://kusadasiescorttr.com/
full seo link buyhacklink.com hızlı buyhacklink.com https://www.kusadasiteksex.com/
1 dolars hacklink buyhacklink.com ücretsiz hacklink buyhacklink.com https://kusadasiescorttr.com/
hacklink bürosu buyhacklink.com hacklink satış buyhacklink.com https://www.jadekusadasi.com/
Волосковый татуаж Обучение перманентному макияжу в Анапе: Путь к профессионализму Индустрия перманентного макияжа постоянно развивается, и спрос на квалифицированных специалистов растет. В Анапе можно пройти обучение перманентному макияжу, освоить все тонкости профессии и получить необходимые навыки для успешной работы. Обучение включает в себя теоретические знания, практические занятия и отработку на моделях.
I think this one’s underrated: https://spaceapps-spain.es/vavada/. Not many know about it, but it feels legit and well-built.
Сертификат ios В эпоху цифровых технологий, когда смартфон стал неотъемлемой частью нашей жизни, сертификат на айфон открывает двери в мир инноваций и передовых возможностей. Этот документ не просто подтверждает право собственности на устройство, но и является ключом к бесперебойной работе любимых приложений и сервисов.
Музыка, розыгрыши и вайб на одном канале! https://t.me/smooook666 Переходи к нам, чтобы зарядиться крутыми треками и поучаствовать в розыгрышах!
If you’re exploring casino platforms, vavada casino is worth a look — smooth experience with great rewards.
https://oboronspecsplav.ru/