GAMBO AJITOLEA KUBORESHA MAZINGIRA YA KAZI YA WAENDESHA BODABODA

GAMBO AJITOLEA KUBORESHA MAZINGIRA YA KAZI YA WAENDESHA BODABODA

Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo, ameonesha kujali changamoto zinazowakabili waendesha bodaboda jijini Arusha kwa kuchangia shilingi milioni 2 kwa ajili ya kulipia kodi ya ofisi ya chama chao hadi kuanzia Februari hadi Disemba 2025. Hatua hiyo imekuja baada ya kukutana na viongozi wa waendesha bodaboda na kujadiliana changamoto wanazopitia katika shughuli […]

Read More
 HATUNA HURUMA TUNABEBA VYOTE – DKT. BITEKO

HATUNA HURUMA TUNABEBA VYOTE – DKT. BITEKO

📌 Tunataka Tuoneshe Afrika na Dunia Tanzania ni Nchi ya Demokrasia 📌 Asema CCM Imejipanga Kushinda na Kuleta Maendeleo 📌 Asema CCM Inataka Ushindi wa Heshima Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa […]

Read More
 MITAALA IZINGATIE MABADILIKO YA KIUCHUMI NA TEKNOLOJI-MAJALIWA

MITAALA IZINGATIE MABADILIKO YA KIUCHUMI NA TEKNOLOJI-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza kuwa mitaala inayoandaliwa ihakikishe inazingatia mabadiliko ya kiuchumi na maendeleo ya kiteknolojia. Amesema hayo leo (Ijumaa, Novemba 22, 2024) alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa kongamano la tano la Maendeleo ya Biashara na Uchumi linalifanyika katika ukumbi wa mikutano wa Hazina jijini Dodoma. Amesema kuwa kuna umuhimu […]

Read More
 JANUARY MAKAMBA- KIJIJI KWA KIJIJI -UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAAJanuary

JANUARY MAKAMBA- KIJIJI KWA KIJIJI -UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAAJanuary

Mbunge wa Bumbuli na Mjumbe wa Halmashauri kuu CCM Taifa January Makamba, ametoa kauli kwamba suala litakalokibeba Chama cha Mapinduzi kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni namna Chama hicho kinavyoshughulika na kero zinazowakabili wananchi. Makamba ameongeza kwamba katika uchaguzi huu kunashindanishwa mambo manne: ubora wa wagombea, ubora wa sera, ubora wa vyama, rekodi ya […]

Read More
 SAMIA KUTIKISA BRAZIL MKUTANO MKUU WA KUNDI LA G20

SAMIA KUTIKISA BRAZIL MKUTANO MKUU WA KUNDI LA G20

Rais Samia Suluhu Hassan amewasili nchini Brazil jana kuhudhuria mkutano wa Nchi Tajiri Duniani wa G20 imealikwa kwa mara ya kwanza. Nchi wanachama wa G20 zinamiliki asilimia 85 ya uchumi wa dunia na Tanzania ni miongoni mwa nchi masikini duniani. Ni kwa nini Tanzania imealikwa. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Idara ya Uhusiano wa Kimataifa […]

Read More