Uncategorized KIMATAIFA KITAIFA

RAIS SAMIA AHUTUBIA MKUTANO WA KITAALUMA WA MAKATIBU MAHSUSI TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi,
Makatibu Mahsusi pamoja na Watunza Kumbukumbu na Nyaraka kabla ya kufunga Mkutano wa Kitaaluma wa Chama cha Makatibu Mahsusi Tanzania (TAPSEA) pamoja na Menejimenti ya Watunza Kumbukumbu na Nyaraka (TRAMPA) uliofanyika Fumba Zanzibar tarehe 27 Mei, 2023.

Inbo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla wakati wa mkutano wa Kitaaluma wa Chama cha Makatibu Mahsusi Tanzania (TAPSEA) pamoja na Menejimenti ya Watunza Kumbukumbu na Nyaraka (TRAMPA) kilichofanyika Fumba Zanzibar tarehe 27 Mei, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Hati ya Kiwanja
Mwenyekiti wa Menejimenti ya Watunza Kumbukumbu na Nyaraka (TRAMPA) Devota George Mrope mara baada ya kufunga mkutano Maalum wa Chama cha Makatibu Mahsusi Tanzania (TAPSEA) pamoja na Menejimenti ya Watunza Kumbukumbu na Nyaraka (TRAMPA) uliofanyika Fumba
Zanzibar tarehe 27 Mei, 2023.

Baadhi ya Viongozi waliohudhuria kilele cha Mkutano Maalum wa Chama cha Makatibu
Mahsusi Tanzania (TAPSEA) pamoja na Menejimenti ya Watunza Kumbukumbu na Nyaraka (TRAMPA) uliofanyika Fumba Zanzibar tarehe 27 Mei, 2023.

About Author

Bongo News

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *