KITAIFA

RAIS SAMIA AMPOKEA RAIS WA HUNGARY MHE. KATALIN NOVák IKULU DAR ES SALAAM

RAIS SAMIA AMPOKEA RAIS WA HUNGARY MHE. KATALIN NOVák IKULU DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake Rais wa Hungary Mhe. Katalin Novák mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe18 Julai, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na mgeni wake Rais wa Hungary Mhe. Katalin Novák mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe18 Julai, 2023.

Jamhuri ya Hungary  Mhe.Katalin Novak akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili na kupokelewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan Ikulu leo Julai 18,2023 Jijini Dar es Salaam. Rais Novak amewasili nchi hapo jana Julai 17,2023 kwaajili ya ziara yake ya siku tatu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania katika Mazungumzo Rasmi na Ujumbe wa Hungary ulioongozwa na Rais wa Nchi hiyo Mhe. Katalin Novák, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe18 Julai, 2023.

Rais wa Hungary Mhe. Katalin Novák akiongoza ujumbe wa Nchi yake wakati wa mazungumzo Rasmi na ujumbe wa Tanzania ulioongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 18 Julai, 2023.

About Author

Bongo News

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *