SAMIA NA HAKAINDE KUONDOA VIKWAZO VYA BIASHARA TANZANIA NA ZAMBIA

SAMIA NA HAKAINDE KUONDOA VIKWAZO VYA BIASHARA TANZANIA NA ZAMBIA

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema wameazimia kuweka mazingira yatakayofanya biashara kati ya Tanzania na Zambia zisiwe na vikwazo. Wakizungumza katika Kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Zambia lililofanyika jana jioni marais hao walisema eneo moja la muhimu ni kuhakikisha magari hayakai kwenye mipaka kwa muda mrefu pasi […]

Read More