Politics KITAIFA

UVCCM YAMALIZA ZIARA JIJINI DAR ES SALAAM KIBABE- ASANTENI MZIZIMA

UVCCM YAMALIZA ZIARA JIJINI DAR ES SALAAM KIBABE- ASANTENI MZIZIMA

Kamati ya Utekelezaji UVCCM Taifa Ikiongozwa na Mwenyekiti wake Komrade Mohamed Ali Kawaida (MCC) imehitimisha Ziara yake ya Kikazi Mkoa wa Dar es salaam tarehe 27 Agosti 2023 kwa kufanya Mkutano Mkubwa wa Hadhara ambao umekua wa kihistoria.

Lengo la Ziara hio katika Mkoa wa Dar Es Salaam ikua Kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Uvhaguzi ya CCM 2020-2025, Kukagua Uhai wa Chama cha Malinduzi na Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi na Kusikiza Hoja, Changamoto na Kero za Wananchi Hususani Vijana na kuzitafutia Ufumbuzi.

Katika Ziara hiyo Kamati ya Utekelezaji ikiongozwa na Mwenyekiti wake Cde Kawaida waliambatana na Wajumbe wa NEC wanaowakisha Kundia Vijana na Wajumbe wa Baraza Kuu la UVCCM Taifa Ngazi ya Kitaifa.

About Author

Bongo News

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *