Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba leo ametembelea katika ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC), Dar es Salaam utakapofanyika mkutano mkubwa, Africa Human Capital, utakaowakutanisha wakuu wa nchi za Afrika kuanzia Julai 25-26, 2023 kuangalia maandalizi na kusema kuwa umekuja wakati muafaka.
Akizungumza baada ya kutembelea katika ukumbi huo, Dkt. Mwigulu kwanza alimshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwakuwa mwenyeji wa mkutano huo mkubwa unaobeba masuala ya rasilimali watu ambao unalenga katika kukuza uchumi imara unaozingatia ujifunzaji mzuri wa vijana na kuongeza tija kwenye uzalishaji kupitia nguvu kazi ya vijana.
“Mkutano huu umekuja wakati muafaka kipindi ambacho Serikali ya Awamu ya Sita imeweka nguvu kubwa katika masuala ya kukuza rasilimali watu, utaona Mhe. Rais ameweka mazingira bora ya elimu bila malipo kuanzia madarasa ya chini mpaka kidato cha sita, katika kipindi hicho hicho ameweka elimu bila malipo mpaka kwenye vyuo vya ufundi, ameweka utaratibu wa wanafunzi kupata mikopo kwa kuanza kwenye ngazi ya vyuo vya kati, lakini pia ameongeza kwa takribani mara mbili mikopo ya elimu ya juu ikiwa inamaanisha wigo mpana wa wanafunzi wanaokwenda kupata elimu ngazi zote nilizozitaja,” amesema.
Aidha Mwigulu amesema kuwa Rais Dkt. Samia amekuwa na lengo kubwa la kuwekeza katika uchumi wa kidigital na kuhakikisha unapewa msukumu mkubwa, ndio maana alivyoapa tu aliweko ‘focus’ ya kujenga chuo cha TEHAMA hiyo yote ikiwa ni kukuza masuala ya kidigital katika nchi yetu, ukiangalia haya yote wenzetu wa Benki ya Dunia waliona kwamba, mada hiyo ambayo wanaandaa na umuhimu mkubwa ambao Serikali inaweka katika masuala ya Human Capital, ingefaa Tanzania kuwa mwenyeji, ukiangalia yote ambayo Mhe. Rais na Serikali yake wanafanya unaona kwamba ni sifa za kutosha Tanzania kuwa mwenyeji wa jambo hili kubwa.
“Maandalizi yote yamekamilika na kama unavyoona kuanzia hapa kwenye mkutano, masuala ya mapokezi, masuala ya namna ya ‘kuwahost’ wageni wetu pamoja na ukumbi wa mikutano pamoja kumbi za mikutano midogo ambayo itafanyika, maandalizi yote yako tayari kwa ajili ya kupokea ugeni. Niwakaribishe wote, Watanzania pamoja na wageni wanaokuja, wakishamaliza masuala ya mkutano ambayo yalikuwa hapa Dar es Salaam wapate fulsa pia kufanya shughuli nyingine za kiutalii, tuna vivutio vya asili, Makumbusho, tuna Zanzibar, tuna Kilimajaro, Ngorongoro, Serengeti, pia wanaweza kwenda kushuhudia ujenzi wa bwawa la Mwalimu Nyerere,” amesema Mwigulu.
47 Comments
Thank you for your sharing. I am worried that I lack creative ideas. It is your article that makes me full of hope. Thank you. But, I have a question, can you help me?
аккаунт для рекламы площадка для продажи аккаунтов
аккаунты с балансом аккаунт для рекламы
маркетплейс аккаунтов соцсетей покупка аккаунтов
биржа аккаунтов площадка для продажи аккаунтов
продажа аккаунтов соцсетей https://prodat-akkaunt-online.ru/
аккаунт для рекламы магазин аккаунтов социальных сетей
аккаунты с балансом купить аккаунт
Secure Account Sales Secure Account Sales
Website for Selling Accounts Account Buying Service
Accounts for Sale Account Sale
Buy and Sell Accounts https://buyaccountsmarketplace.com
Online Account Store Buy Pre-made Account
Ready-Made Accounts for Sale Account Buying Platform
Purchase Ready-Made Accounts https://buyagedaccounts001.com/
Account Store Account Market
Sell Pre-made Account accountsmarketplaceonline.com
Secure Account Sales Sell accounts
Social media account marketplace Account Acquisition
secure account sales account purchase
account sale gaming account marketplace
account trading platform website for selling accounts
sell account account trading platform
social media account marketplace accounts market
account store accounts for sale
buy and sell accounts account store
database of accounts for sale https://accountsmarketdiscount.com/
buy accounts verified accounts for sale
verified accounts for sale secure account purchasing platform
guaranteed accounts website for buying accounts
buy accounts secure account purchasing platform
account market purchase ready-made accounts
sell pre-made account account selling platform
account selling platform guaranteed accounts
website for selling accounts account marketplace
social media account marketplace account purchase
account store website for selling accounts
account buying platform online account store
account market account marketplace
verified accounts for sale account trading
gaming account marketplace verified accounts for sale
account trading account store
account exchange accounts marketplace
account market account catalog
account trading platform https://shop-social-accounts.org
account catalog ready-made accounts for sale
account catalog profitable account sales