π Dkt. Biteko aweka Jiwe la Msingi Ujenzi Kiwanda cha Nguzo za Zege
π Awataka wananchi Tabora kutogawanyika wakati Uchaguzi Mkuu
π Asema maono ya Rais Samia ni viongozi kuwasaidia wananchi

Na Mwandishi Wetu
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa Kiwanda cha Kutengeneza Nguzo za Zege cha TCPM kutakidhi mahitaji ya Mkoa wa Tabora na maeneo mengine ya jirani na kukuza uchumi wa nchi.
Kiwanda hicho kitakachokuwa na uwezo wa kuzalisha nguzo 120 kwa siku inadhihirisha kasi ya matumizi na uhitaji wa nguzo hizo za kisasa. Pia, makadirio yanaonesha kuwa, mahitaji yanaongezeka na hivyo kuongeza fursa kwa TCPM kulichangamkia soko hilo.
Dkt. Biteko amesema hayo leo Aprili 3, 2025 mkoani Tabora mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Kiwanda cha Kutengeneza Nguzo za Zege cha TCPM.

βNiwapongeze uongozi wa Kampuni ya TCPM na wadau wengine kwa jitihada zenu za kusimamia ujenzi wa Kiwanda hiki. Nimejulishwa kuwa utekelezaji wa mradi huu umefikia asilimia 73. Ni matumaini yangu kuwa, asilimia iliyobaki mtaikamilisha kwa ufanisi na kwa kuzingatia muda na mahitaji yaliyopo,β amesema Dkt. Biteko.
Ameitaka TCPM kukamilisha mradi huo kwa kipindi cha miezi miwili iliyobaki, sambamba na kulielekeza Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kuwapa TCPM shilingi bilioni 4 ili kukamilisha mradi kwa haraka kwa kuwa Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza wananchi wapate umeme.
Amesisitiza kuwa mahitaji ya umeme yanaongezeka kila mwaka kwa asilimia 10 hadi 15 ukuaji ambao unadhihirisha umuhimu na uhitaji zaidi wa miundombinu ya kisasa ikiwemo nguzo za zege ambazo ni mbadala wa nguzo za miti.

Ameitaka TCPM kujenga nguzo bora ili kuwa mfano kwa kampuni binafsi za kutengeneza nguzo.
Dkt. Biteko amebainisha manufaa ya Kiwanda hicho cha nguzo za zege kuwa kitachangia ukuaji wa ajira za moja kwa moja na ajira ambazo hutokana na mnyororo wa thamani.
Ametolea mfano β Mwaka wa fedha uliopita 2023/2024 usambazaji ulikuwa nguzo 19,368. Lakini kwa mwaka huu wa fedha 2024/2025 hadi kufikia mwezi Aprili usambazaji wa nguzo ulifikia 34,181. Sawa na ongezeko la asilimia 76 ambayo hii tunaweza kusema ni ukuaji wa ajira ambayo itatengenezwa na Sekta hii ya usambazaji wa nguzo za zege,β

Pamoja na hayo, Dkt. Biteko ameeleza kuwa hadi sasa vijiji vyote vimepata umeme na Serikali inaanza kupeleka umeme katika vitongoji nchi nzima kwa kuanzia na vitongozi 20,000 huku Tabora ikipewa kipaumbele.
Aidha, Dkt. Biteko amehamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia na kusema kuwa Serikali inatekeleza Mkakati wa Taifa wa Nishati Safi ya Kupikia 2024- 2034 wenye lengo la kuhakikisha Watanzania asilimia 80 wanatumia nishati safi ya kupikia ifikapo mwaka 2034.
Kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Dkt. Biteko amewataka wananchi wa Tabora kutogawanyika kwa sababu yoyote ile huku akiwahimiza kumuunga mkono Rais Samia kutokana na juhudi zake za kuwaletea wanachi maendeleo.

” Katika uchaguzi Mkuu ujao tusikubali kugawanywa wala kudanganywa kwa misingi yoyote ile, tukitanguliza tofauti zetu, matokeo yake yataishi kwa kipindi kifupi na madhara yake yatakuwa ya muda mrefu” amesema Dkt. Biteko
Naye, Mbunge wa Viti Maalum mkoani Tabora, Mhe. Munde Tambwe amesema kuwa mkoa huo unazalisha tumbaku wa kiwango kikubwa hivyo wanaiomba Serikali ijenge kiwanda cha tumbaku ili kutoa ajira kwa vijana.
Kwa upande wake, Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amesema tukio hilo ni muhimu ambalo litawezesha matumizi ya nguzo ambazo ni imara na za gharama nafuu ikilinganishwa na nguzo za miti.

βKuna baadhi ya maeneno nguzo za miti zimeshindwa kustahimili mfano katika maji au dhidi ya moto lakini nguzo za zege zinadumu muda mrefu na kuna baadhi ya maeneo mkoani Tanga ziliwekwa nguzo za zege na zipo hadi leo pia zinatunza mazingira,β amesema Mhandisi Mramba.
Meneja Mkuu wa TCPM, Mhandisi Yusuph Kitivo amesema kuwa Kiwanda hicho kinamilikiwa na Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania kwa asilimia 100.
Amesema tayari nguzo hizo zimeanza kutumika katika mikoa ya Katavi na Tabora na zaidi ya nguzo 80,000 zimeingia TANESCO na sasa kila wilaya nchini ina nguzo za Kampuni hiyo ya zege zilizojengwa na wadau wao.
β Mradi wa kujenga kiwanda hiki ulianza rasmi mwaka Oktoba 30, 2024 ikiwa ni sehemu ya jitihada za Serikali za kuhakikisha Tanzania inakuwa na umeme wa uhakika kwa kuwa na nguzo zinazodumu kwa muda mrefu, umeme wa uhakika una chochea uchumi,β amesema Mhandisi Kitivo.
Amebainisha kuwa gharama ya mradi huo ni shilingi bilioni 6 na ujenzi utakamilika kwa viwango vinavyotarajiwa.

β Kukamilika kwa kiwanda hiki kutasaidia ujenzi wa kiwanda kingine mkoani Mbeya na kutakuwa na manufaa makubwa kwa kuongeza pato la Taifa na kuzalisha ajira pamoja kukuza biashara mtambuka inayotokana na bidhaa hizi,β ameongeza Mhandisi Kitivo.
40 Comments
manavgat escort ilan Manavgat escort kΔ±zlar sizin arama yapmanΔ±zΔ± bekliyor, AydΔ±n Manavgat escort bayan numaralarΔ± bu sitede mevcuttur. AydΔ±n Manavgat eskort kadΔ±n nosu, Manavgat … https://aawsa.gov.et/
Account exchange Account Selling Service
Website for Buying Accounts Ready-Made Accounts for Sale
Gaming account marketplace Account Acquisition
http://alinehilford.com/__media__/js/netsoltrademark.php?d=https://t.me/Vodka_slots/402
https://cse.google.cl/url?sa=t&url=https://t.me/flagman_official_777/45
http://maps.google.com.ly/url?q=https://t.me/Official_1win_1win/356
https://cse.google.is/url?sa=t&url=https://t.me/Official_1win_1win/1235
https://www.upguard.com/instant-security-score/report?c=t.me/flagman_official_777/148
http://toolbarqueries.google.co.cr/url?sa=t&url=https://t.me/Official_1win_1win/1470
http://maps.google.com.tr/url?q=https://t.me/VAVADA_OFFICIAL_SLOTS/1657
http://ridejockey.com/__media__/js/netsoltrademark.php?d=https://t.me/flagman_official_777/90
http://searchinguncovered.com/__media__/js/netsoltrademark.php?d=https://t.me/VAVADA_OFFICIAL_SLOTS/3507
http://accesswswa.com/__media__/js/netsoltrademark.php?d=https://t.me/Vodka_slots/491
http://westsidestorythemovie.com/__media__/js/netsoltrademark.php?d=https://t.me/flagman_official_777/33
http://images.google.at/url?q=https://t.me/Vodka_slots/127
http://isaacsrelocationservice.com/__media__/js/netsoltrademark.php?d=https://t.me/Vodka_slots/89
http://cramp.calientecasinosresorts.com/__media__/js/netsoltrademark.php?d=https://t.me/VAVADA_OFFICIAL_SLOTS/3083
https://www.google.pt/url?sa=t&url=https://t.me/flagman_official_777/174
http://www.stripperpoleusa.com/__media__/js/netsoltrademark.php?d=https://t.me/flagman_official_777/146
https://maps.google.de/url?q=https://t.me/Vodka_slots/601
http://merhapchriskwanhannutivus.com/__media__/js/netsoltrademark.php?d=https://t.me/Vodka_slots/832
http://petripools.biz/__media__/js/netsoltrademark.php?d=https://t.me/flagman_official_777/82
https://maps.google.co.jp/url?sa=t&url=https://t.me/Vodka_slots/985
https://trustscam.ru/t.me/Official_1win_1win/459
http://images.google.ps/url?q=https://t.me/Official_1win_1win/511
http://www.google.com.tn/url?q=https://t.me/Official_1win_1win/363
https://maps.google.dj/url?sa=t&url=https://t.me/Official_1win_1win/915
http://architecturalrainscreen.com/__media__/js/netsoltrademark.php?d=https://t.me/VAVADA_OFFICIAL_SLOTS/3347
http://maps.google.nr/url?q=https://t.me/VAVADA_OFFICIAL_SLOTS/1773
http://rebuildreshape.com/__media__/js/netsoltrademark.php?d=https://t.me/Vodka_slots/130
http://mypublicradio.org/__media__/js/netsoltrademark.php?d=https://t.me/Vodka_slots/296
http://myexr.com/__media__/js/netsoltrademark.php?d=https://t.me/Official_1win_1win/1228
http://designerchcks.com/__media__/js/netsoltrademark.php?d=https://t.me/VAVADA_OFFICIAL_SLOTS/3683
Buy Account Account Trading Platform
http://susquehannafinancialgroup.com/__media__/js/netsoltrademark.php?d=https://t.me/VAVADA_OFFICIAL_SLOTS/3304
https://cse.google.co.ck/url?sa=t&url=https://t.me/flagman_official_777/53
http://sent.seazllc.com/__media__/js/netsoltrademark.php?d=https://t.me/Vodka_slots/1188
Account Exchange Service Buy Pre-made Account
https://trustscam.com/t.me/VAVADA_OFFICIAL_SLOTS/1926