GLOBAL FUND KUENDELEA KUIUNGA MKONO TANZANIA

GLOBAL FUND KUENDELEA KUIUNGA MKONO TANZANIA

Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora Dkt. John Mboya akiongoza kikao cha pamoja na ugeni kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na Sekretarieti ya Kamati ya Kitaifa inayoratibu na kusimamia fedha kutoka Mfuko wa Dunia (Global Fund) kabla ya kuanza ziara ya kukagua miradi inayofadhiliwa na mfuko wa Dunia katika Mkoa huo. SERIKALI imepongeza jitihada […]

Read More
 MSIGWA: SERIKALI YA AWAMU YA SITA INA NIA NJEMA NA BANDARI ZETU

MSIGWA: SERIKALI YA AWAMU YA SITA INA NIA NJEMA NA BANDARI ZETU

Sakata la ubinafsishaji wa Bandari ya Dar es Salaam limeendelea kutolewa ufafanuzi na Serikali kwa kuwatoa hofu Watanzania kwamba wasiwe na shaka kwani kila kitu kitakwenda sawa kwani utaangalia maslahi mapana ya nchi tofauti na baadhi ya watu wakiwemo wanasiasa ambao wanadaiwa kupotosha jamii kwamba mkataba huo umeshasainiwa.Akizungumza na Jukwaa la Wanahabari wa Mitandao ya […]

Read More
 SIMBACHAWENE AFANYA KIKAO KAZI NA MAKAMISHNA WA TUME YA UTUMISHI WA UMMA KUHIMIZA UWAJIBIKAJI

SIMBACHAWENE AFANYA KIKAO KAZI NA MAKAMISHNA WA TUME YA UTUMISHI WA UMMA KUHIMIZA UWAJIBIKAJI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akizungumza na Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma jijini Dodoma wakati wa kikao kazi chake na Makamishna hao kilicholenga kuhimiza uwajibikaji. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akizungumza na Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma […]

Read More
 SIKU 100 ZA KATIBU MKUU MADINI MADARAKANI, BITEKO ATAKA SEKTA HIYO KUCHANGIA FEDHA ZA KIGENI

SIKU 100 ZA KATIBU MKUU MADINI MADARAKANI, BITEKO ATAKA SEKTA HIYO KUCHANGIA FEDHA ZA KIGENI

Waziri wa Madini, Doto Biteko *Dodoma* Zikiwa zimetimia Siku 100 tangu ateuliwe na kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Februari 27, 2023 kuiongoza Wizara ya Madini, Juni 7, 2023, Katibu Mkuu Kheri Mahimbali akizungumza na Watumishi wa Wizara, aliwaeleza Mikakati Kabambe inayolenga kuifanya Sekta ya Madini Kuzalisha Zaidi. […]

Read More
 NGOs ZINAZOJISHUGHILISHA NA USHOGA, MAPENZI YA JINSIA MOJA MARUFUKU NACHINGWEA

NGOs ZINAZOJISHUGHILISHA NA USHOGA, MAPENZI YA JINSIA MOJA MARUFUKU NACHINGWEA

Mkuu wa wilaya ya Nachingwea Mohamed Hassan Moyo akipiga marufuku NGOs zinazojishughulisha na ushoga, mapenzi ya jinsia moja na usagaji kuwa hazitakiwa kufanya kazi katika wilaya hiyo. MKUU wa wilaya ya Nachingwea Mohamed Hassan Moyo amepiga marufuku kwa taasisi na mashirika mbalimbali yasiyo ya kiserikali kujishughulisha mapenzi ya jinsia moja na ushoga.Akizungumza wakati wa kikao […]

Read More