ULEGA ATANGAZA NEEMA YA RAIS SAMIA KUSINI, S114BILIONI KUKARABATI BARABARA, MADARAJA

ULEGA ATANGAZA NEEMA YA RAIS SAMIA KUSINI, S114BILIONI KUKARABATI BARABARA, MADARAJA

*Taa kuangaza barabara kuelekea Kusini Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametangaza kuwa serikali imetenga zaidi ya shilingi bilioni 114 kukarabati barabara za mikoa ya Kusini zilizoharibiwa na mvua za El Nino huku akiagiza taa za kutosha kuwekwa kwenye barabara kuu kuelekea mikoa ya Kusini. Akizungumza katika maeneo tofauti wakati wa ziara yake […]

Read More
 TRA NJOMBE YAWAFUATA WALIPAKODI NA KUGEUZA GARI KUWA OFISI

TRA NJOMBE YAWAFUATA WALIPAKODI NA KUGEUZA GARI KUWA OFISI

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Njombe imelazimika kugeuza gari kuwa ofisi baada ya kuwafuata Walipakodi katika kijiji cha Ukalawa wilaya ya Njombe vijijini Jimbo la Lupembe umbali wa Km 75.9 kutoka Njombe mjini kwa lengo la kuwapelekea huduma karibu na maeneo yao. Akizungumza wakati wa zoezi hilo Afisa Msimamizi wa Kodi mkoa wa […]

Read More
 RAIS SAMIA MGENI RASMI TUZO YA MLIPAKODI BORA JANUARY 23.2025

RAIS SAMIA MGENI RASMI TUZO YA MLIPAKODI BORA JANUARY 23.2025

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inatarajia kufanya maadhimisho ya siku ya shukrani na kutoa tuzo kwa Walipakodi bora kwa mwaka 2023/2024 tukio litakalofanyika Jijini Dar es Salaam January 23.2025. Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Arusha Mkurugenzi wa Elimu kwa Mlipakodi na Mawasiliano Bw. Richard Kayombo amesema mgeni rasmi katika maadhimisho hayo anatarajiwa kuwa Rais […]

Read More