
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshiriki mazoezi ya pamoja ya kampeni ya kitaifa inayoratibiwa na Wizara ya Afya ya kuhamasisha ufanyaji wa mazoezi kwa watanzania ili kujiepusha na magonjwa yasiyo ya kuambukiza.

Mheshimiwa Majaliwa amesema hatua hiyo pia ni kuunga mkono wito wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan wa kufanya mazoezi ili kujikinga na magonjwa hayo.

Ameyasema hayo leo (Jumamosi Mei 4, 2024) aliposhiriki katika kampeni ya ufanyaji mazoezi pamoja na matembezi ya kilomita 10 yaliyoanzia katika fukwe za Coco kupitia daraja la Tanzanite hadi Ocean Road jijini Dar es Salaam.
“Mnakumbuka programu hii iliyoanzishwa na Rais wetu Dkt. samia Suluhu Hassan na yeye mwenyewe kushiriki na kuwahamasisha watanzania kushiriki mazoezi mbalimbali, katika kipindi cha miaka mitatu ya Dkt. Samia moja ya mambo ya kujivunia ni mafanikio katika sekta ya michezo.”

Kadhalika Mheshimiwa Majaliwa ametoa wito kwa Viongozi wa Manispaa ya Kinondoni kufanya maboresho zaidi katika eneo la fukwe za Coco ili liwe safi na livutie watu wa rika mbalimbali.
“Nawapongeza jeshi la polisi kwa kazi nzuri ulinzi katika eneo hili, Nitoe wito kwenu kuendelea kuimarisha ulinzi ili eneo hili liwe salama kwa watu wa rika na jinsia zote.”

Awali, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amemshukuru Waziri Mkuu kwa kukubali kushiriki katika mazoezi hayo huku akitoa taarifa ya ongezeko la magonjwa 10 yasiyo ya kuambukiza jambo lililofanya Wizara hiyo kuleta ombi la kuanzisha utaratibu wa mazoezi kila jumamosi.
“Mwaka 2022 kati ya magonjwa 10 yanayowasumbua watanzania moja lililojitokeza ni shinikizo la juu la damu bajeti ya mwaka 2022/2023 likaongezeka na kisukari katika magonjwa 10 yanayowasumbua watanzania. Wajibu wa Wizara ya Afya ni kuwakinga Watanzania wasipate magonjwa.”

Kwa Upande wake Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amesema kama Mkoa watajipanga kuhakikisha utaratibu huo wa mazoezi utakuwa endelevu kwa kushirikiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama pamoja na wadau mbalimbali wa michezo.
41 Comments
Good day! Do you know if they make any plugins to help with Search Engine Optimization? I’m trying to get my blog to rank for some targeted keywords but I’m not seeing very good gains. If you know of any please share. Appreciate it!
Can I just say what a relief to find someone who actually knows what theyre talking about on the internet. You definitely know how to bring an issue to light and make it important. More people need to read this and understand this side of the story. I cant believe youre not more popular because you definitely have the gift.
мостбет кыргызстан https://www.mostbet17.com.kg .
1win мобильная версия сайта https://www.1win38.com.kg .
адин вин https://www.1win40.com.kg .
1 вин https://1win33.com.kg .
one win 1win35.com.kg .
1 win.kg 1 win.kg .
1вин rossvya https://mostbet18.com.kg .
mostbet uz скачать на компьютер http://mostbet3019.ru .
mostbet uz https://mostbet3020.ru/ .
1win kg https://1win36.com.kg/ .
1win online casino http://1win2.com.mx/ .
1win kg скачать 1win37.com.kg .
You have a gift for making simple complex concepts; I truly understand it now.
служба поддержки мостбет номер телефона mostbet20.com.kg .
mostbet casino https://www.mostbet19.com.kg .
1win rossvya 1win rossvya .
один вин официальный сайт http://www.1win108.com.kg .
1win скачать 1win102.com.kg .
1win com http://www.svstrazh.forum24.ru/?1-18-0-00000135-000-0-0-1741169701 .
1 win https://aktivnoe.forum24.ru/?1-8-0-00000252-000-0-0-1741169084 .
мостбет chrono http://www.cah.forum24.ru/?1-13-0-00001559-000-0-0 .
мостбет кыргызстан скачать мостбет кыргызстан скачать .
1 цшт 1 цшт .
1вин вход https://aktivnoe.forum24.ru/?1-8-0-00000254-000-0-0-1741273702 .
1вин бет официальный сайт http://1win109.com.kg/ .
1 вин https://1win111.com.kg .
1вин про http://www.1win110.com.kg .
1wi 1wi .
Your place is valueble for me. Thanks!…
1вин сайт https://1win12.am .
1вин официальный регистрация http://www.1win11.am .
1win ставки официальный сайт http://1win13.am/ .
Your blog illuminates my day like a beam of light. Thank you for spreading positivity through your words.
1win https://1win5.com.mx .
скачать 1win с официального сайта https://1win105.com.kg .
мостбет скачать на андроид mostbet1009.com.kg .
1win online games https://1win10.com.ng/ .
1 ван вин 1 ван вин .
gu0qke