WANAOKIUKA MATUMIZI YA MASHINE ZA EFD KUCHUKULIWA HATUA

WANAOKIUKA MATUMIZI YA MASHINE ZA EFD KUCHUKULIWA HATUA

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Mwenda amesema Mamlaka hiyo haitasita kuwachukulia hatua za kisheria wafanyabiashara wote wanaokiuka matumizi sahihi ya Mashine za Kielekitroniki EFDs. Akizungumza katika Kikao cha pamoja na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti Kamishna Mkuu wa TRA Mwenda amesema timu ya Wataalam wa Mamlaka ya Mapato […]

Read More
 KUKUA KWA SEKTA YA UTALII NCHINI NI MATUNDA YA RAIS DKT. SAMIA

KUKUA KWA SEKTA YA UTALII NCHINI NI MATUNDA YA RAIS DKT. SAMIA

Na Emmanuel Buhohela Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amewaongoza Viongozi Wakuu wa Wizara akiwemo Naibu Waziri Mhe. Dastan Kitandula kupokea rasmi Tuzo ya Kivutio Bora cha Utalii wa Safari Duniani 2024. Akizungumza wakati wa kupokea tuzo hiyo leo Disemba 03, 2024 jijini Dodoma katika semina ya siku mbili inayoshirikisha Maafisa […]

Read More
 DKT. BITEKO ATAKA WATAFITI, WABUNIFU NDANI YA NCHI WATAMBULIWE KULETA MAENDELEO

DKT. BITEKO ATAKA WATAFITI, WABUNIFU NDANI YA NCHI WATAMBULIWE KULETA MAENDELEO

📌 Azindua Kongamano la 9 Sayansi, Teknolojiana Ubunifu 📌 Asema Watafiti waendelezwe, wasivunjwe moyo 📌 Azindua Mfuko wa mikopo nafuu “SAMIA FUND” 📌 Norway Yaahidi kuendelea kufadhili utafiti wenye tija Mwandishi wetu. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema umefika wakati kwa Serikali na taasisi na Mashirika kutambua, kuthamini na kutumia […]

Read More
 BONAZA LA PEMBA LAVUTIA MAELFU, LENGO NI KUKUZA UTALII WA MICHEZO NA UTAMADUNI

BONAZA LA PEMBA LAVUTIA MAELFU, LENGO NI KUKUZA UTALII WA MICHEZO NA UTAMADUNI

Bonanza la Pemba Lavutia Maelfu, Lengo la Kukuza Utalii wa Michezo na UtamaduniPemba, Zanzibar – Bonanza la Michezo na Utamaduni kisiwani Pemba limehitimishwa kwa mafanikio makubwa, likiashiria hatua nyingine muhimu katika kukuza utalii wa michezo, utamaduni, na utalii wa halal. Katika kufunga bonanza hilo, Waziri wa Uchumi wa Bluu na Uvivu Zanzibar, Mheshimiwa Shaaban Ali […]

Read More
 TAMASHA LA PEMBA TOURISPORT LAFUNGULIWA

TAMASHA LA PEMBA TOURISPORT LAFUNGULIWA

Mkuu wa Wilaya ya Mkoani iliyopo Mkoa wa Pemba Kusini, Hamad Omar Bakari ameipongeza Kamisheni ya Utalii na Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale kwa juhudi zao za kuandaa Bonanza la michezo ya kitalii na utamaduni liitwalo Pemba Tourisport and Cultural Bonanza. Bakari ametoa pongezi hizo wakati wa ufunguzi wa bonanza hilo uliofanyika Novemba […]

Read More
 RC MAKONDA ASHIRIKI UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA, AOMBA WANANCHI KUJITOKEZA KWA WINGI.

RC MAKONDA ASHIRIKI UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA, AOMBA WANANCHI KUJITOKEZA KWA WINGI.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda leo Jumatano Novemba 27, 2024 ameungana na Watanzania wengine kushiriki kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kwenye kituo alichokuwa amejiandikishia cha Hospitali ya AICC, Mtaa wa Mahakama Kata ya Sekei Jijini Arusha. Mara baada ya kupiga kura asubuhi hii, Mhe. Makonda akizungumza na wanahabari amewasihi wananchi […]

Read More
 ZITTO AWATAKA KIGOMA KUPIGA KURA YA HAPANA PALE CCM WANAPOBAKI PEKEE, ACT YATOA ONYO KWA WATAKAOJARIBU KUVURUGA UCHAGUZI

ZITTO AWATAKA KIGOMA KUPIGA KURA YA HAPANA PALE CCM WANAPOBAKI PEKEE, ACT YATOA ONYO KWA WATAKAOJARIBU KUVURUGA UCHAGUZI

Kiongozi Mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amewataka wananchi kupiga kura za hapana katika mitaa ambayo wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamebakizwa pekee baada ya vyama vya upinzani kuenguliwa. Zitto ametoa wito huo siku ya Jumanne Novemba 26, 2024 wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji […]

Read More