RC CHALAMILA AONGOZA BARAZA LA BIASHARA MKOA

RC CHALAMILA AONGOZA BARAZA LA BIASHARA MKOA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo April 05,2024 ameongoza baraza la biashara Mkoa wa Dar es Salaam katika Ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es Salaam. Akiongea na waandishi wa Habari RC Chalamila amesema baraza hilo pamoja na mambo mengine limejadili uendelevu wa biashara za wazawa, sera za wawekezaji wa nje […]

Read More
 DKT. BITEKO AZINDUA ZAHANATI YA BUNGONI – ILALA

DKT. BITEKO AZINDUA ZAHANATI YA BUNGONI – ILALA

Dar es Salaam. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko leo tarehe 29 Disemba, 2023 amezindua Zahanati ya Bungoni iliyopo mtaa wa Mafuriko Ilala jijini Dar es Salaam na kuwataka wananchi kutumia fursa ya uwepo wa huduma ya zahanati hiyo kutumia huduma badala ya kwenda mbali kufuata huduma za Afya, kwani […]

Read More
 TANZANIA IMEFUNGUKA, RC CHALAMILA AZUNGUMZA BAADA YA KUWAPOKEA WAGENI KUTOKA FINLAND NA UN-WOMEN

TANZANIA IMEFUNGUKA, RC CHALAMILA AZUNGUMZA BAADA YA KUWAPOKEA WAGENI KUTOKA FINLAND NA UN-WOMEN

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Desemba 14, 2023 amepokea wageni maalum kutoka nchini Finland na UN-WOMEN Ofisini kwake Ilala Boma Jijini Dar es Salaam. Akipokea wageni hao RC Chalamila ameishukuru Serikali ya Finland kwa mashirikiano katika nyanja mbalimbali na Tanzania hususani Mkoa wa Dar es Salaam ambapo amesema Mkoa […]

Read More
 RC CHALAMILA ASHIRIKI IFM ALUMNI MARATHON

RC CHALAMILA ASHIRIKI IFM ALUMNI MARATHON

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila leo Novemba 19,2023 ameshiriki IFM Alumni Marathon ambayo imeandaliwa na Watumishi na Wanafunzi waliosoma katika chuo hicho cha Usimamizi wa fedha ambao kwa sasa wanafanya kazi maeneo mbalimbali hapa nchini. Akiongea mara baada ya kukimbia umbali wa kilometa 5 Mhe. Chalamila amekipongeza chuo hicho kwa […]

Read More