NAIBU WAZIRI MKUU DKT. BITEKO AKEMEA MIGOGORO ARUSHA, ATAKA VIONGOZI KUWEKA MBELE MASLAHI YA WANANCHI

NAIBU WAZIRI MKUU DKT. BITEKO AKEMEA MIGOGORO ARUSHA, ATAKA VIONGOZI KUWEKA MBELE MASLAHI YA WANANCHI

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka viongozi kote nchini kuweka maslahi ya wananchi mbele na kuacha migogoro inayotokana na ubinafsi wao. “Hawa Watanzania hawataki migogoro yetu sisi viongozi na wakati mwingine migogoro tuliyonayo ni migogoro ya maslahi binafsi. Tumeacha kuwahudumia wananchi tunashughulikiana, tunataka huyu akwame, huyu afanikiwe kwa sababu […]

Read More
 WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA ZANZIBAR AHAMASISHA WANANCHI KUJITOKEZA KAMPENI MSAADA WA KISHERIA

WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA ZANZIBAR AHAMASISHA WANANCHI KUJITOKEZA KAMPENI MSAADA WA KISHERIA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Mhe. Dkt. Haroun Ali Suleiman amewasihi wananchi wa Kaskazini Unguja Visiwani Zanzibar, kujitokeza kwa wingi kwenye siku tisa za utekelezaji wa kampeni ya msaada wa Kisheria kwenye Mkoa huo, akimshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ubunifu na ufadhili wa kampeni hiyo, aliyoitaja […]

Read More
 DKT. BITEKO AWAASA WAKRISTO KULIOMBEA TAIFA

DKT. BITEKO AWAASA WAKRISTO KULIOMBEA TAIFA

📌 Ashiriki ibada ya Pasaka AIC Makongoro 📌 Wakristo wakumbushwa ufufuko wa Yesu ulete mabadiliko maishani mwao 📌 Ataka wenye nia thabiti wajitokeze kugombea Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewaasa wakristo kuliombea Taifa amani, utulivu, umoja na mshikamano uendelee ikiwa ni kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu. Dkt. Biteko […]

Read More
 MAWAKILI WA SERIKALI WASISITIZWA KUISHAURI SERIKALI NA KUTENDA HAKI

MAWAKILI WA SERIKALI WASISITIZWA KUISHAURI SERIKALI NA KUTENDA HAKI

📌 Dkt. Biteko asema Serikali inatambua jitihada za Asasi za Kiraia kutoa huduma za kisheria kwa Wananchi 📌 Rais Samia apongezwa kwa mageuzi katika huduma za sheria nchini 📌 Wanasheria wakumbushwa kuwa marafiki wa Mungu badala ya Mahakama 📌 Dkt. Biteko ataja mikakati ya Serikali kuhakikisha huduma bora za sheria zinawafikia wananchi Na Mwandishi Wetu, […]

Read More