π Dkt. Biteko asema Serikali inatambua jitihada za Asasi za Kiraia kutoa huduma za kisheria kwa Wananchi
π Rais Samia apongezwa kwa mageuzi katika huduma za sheria nchini
π Wanasheria wakumbushwa kuwa marafiki wa Mungu badala ya Mahakama
π Dkt. Biteko ataja mikakati ya Serikali kuhakikisha huduma bora za sheria zinawafikia wananchi

Na Mwandishi Wetu, Dodoma
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Mawakili wa Serikali kufanya kazi kwa kuzingatia taaluma na haki ili kusaidia Watanzania sambamba na kuwa washauri wazuri kwa viongozi wao.
Dkt. Biteko amesema hayo leo Aprili 15, 2025 jijini Dodoma wakati alipofungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali.
βOmbi langu kwenu Mawakili wa Serikali fanyeni kazi yenu kwa kuzingatia taaluma yenu ya sheria na haki, ni wajibu wenu kushauri kwa haki na fanyeni kazi bila kuogopa,β amesema Dkt. Biteko

Amesisitiza βFanyeni kazi ya kutetea Serikali yenu, nendeni mkaishauri Serikali na wakati wote mkatende haki, ifanyeni haki kuwa rafiki yenu na anayetokea mbele yenu aone haki imetendeka hata watakaopotoka wakihukumiwa waone wanastahili hukumu waliyopewa,β
Halikadhalika Dkt. Biteko amewapongeza Mawakili hao wa Serikali pamoja na wadau mbalimbali kwa kuunda na kuendesha Kamati za Ushauri wa Kisheria za Mikoa na Wilaya pamoja na kuendesha Kliniki za Ushauri wa Kisheria bila malipo katika mikoa mitatu ya Dodoma, Kilimanjaro na Mwanza.
Vilevile, amesema kuwa Serikali inatambua jitihada zinazofanywa na Asasi za Kiraia, na binafsi katika kuwahudumia wananchi kupata huduma za kisheria. Ametaja asasi na vyama hivyo kuwa ni pamoja na Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society), Legal and Human Rights Centre (LHRC), Tanzania Legal Aid Providers (TANLAP), Legal Service Facility (LSF), Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) pamoja na Watoa Huduma za Msaada wa kisheria kama UNDP na UN Women.

Ametaja baadhi ya jitihada za Serikali katika kuboresha sekta ya sheria nchini kuwa kuajiri Maafisa Sheria, Mawakili wa Serikali pamoja na Mahakimu na imekuwa ikiwawezesha watoa huduma za kisheria kwa kuanzisha Huduma za Msaada wa Kisheria, uanzishwaji wa Kamati za Ushauri wa Kisheria, Kliniki za Ushauri wa Kisheria pamoja mafunzo kwa wataalamu wa sheria, ujenzi wa maeneo ya kutolea huduma za kisheria kwa lengo la kuhakikisha huduma bora inawafikia wananchi.
Katika hatua nyingine, Dkt. Biteko amemuelekeza Mwanasheria Mkuu wa Serikali kushughulikia changamoto mbalimbali za Chama hicho cha Mawakili wa Serikali ikiwa ni pamoja na kuwasaidia kupata eneo la kujenga Makao Makuu ya Chama na Vivutio vya Mafunzo kwa Mawakili wa Serikali katika mikoa ya Arusha na Dodoma
Kwa upande wake, Waziri wa Habari, Utamaduni. Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Palamagamba Kabudi amesema kuwa Rais Mhe. Dkt. Samia ameimarisha sekta ya sheria kwa kutekeleza masuala mbalimbali mfano kusaidia uwepo wa haki jinai na Kampeni ya Msaada wa Sheria ya Mama Samia.

Mhe. Kabudi amesema kuwa umuhimu wa mkutano huo wa Mawakili wa Serikali kuwa ni kutoa fursa kwao ya kukutana na kujadiliana masuala ya kitaaluma, maslahi yao pamoja na kufahamiana.
Amewapongeza waasisi wa Chama hicho kwa kujenga taswira nzuri huku akiwaasa viongozi wengine watakao fuata kuendeleza taswira hiyo na amewataka mawakili hao kuwa marafiki wa Mungu badala ya Mahakama kwa kutenda haki na kusema kweli wakati wa kutimiza majukumu yao.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Hamza Johari amemshukuru Rais Samia kwa kuendelea kukilea chama hicho kwa miaka mitatu na kusema kuwa ni wajibu wao sasa kukilinda na kuhakikisha kinafikia malengo yake.

Pia, amebainisha kuwa kupitia mkutano huo wameidhinisha Mpango Mkakati wa Chama hicho kitakachoufuata na kutekeleza katika kipindi cha miaka mitano.
βTumetengeneza Mpango Mkakati tunaokwenda kuutekeleza kwa shauku kubwa pamoja na viongozi wapya watakao chaguliwa katika Uchaguzi unaofanyika leo,β amesema Mhe. Johari.
Amesema hadi kufikia Aprili 9, 2025 idadi ya Mawakili wa Serikali waliojisajiliwa katika Daftari la Mawakili wa Serikali imefikia 3,760 kutoka 2,652 waliosajiliwa wakati wa kuanzishwa kwa Chama hicho.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Zanzibar, Mhe. Dkt. Mwinyi Talib Haji amewaomba Mawakili na Maafisa Sheria wa Serikali kufanya kazi kwa uadilifu na kuzingatia sheria ili kujenga jamii imara na kupunguza mizozo katika jamii.

Aidha, amesema taasisi za sheria ziendelee kushirikiana ili kusaidia wananchi na kuunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi za kuhudumia jamii na kuleta ustawi kwa mustakabali kwa maendeleo ya nchi.
Rais wa Chama cha Mawakili wa Serikali, Amedeus Shayo amesema kuwa Chama chao kimefanikiwa kujenga mfumo wa kielektoniki wa kukusanya ada kwa wanachama pamoja na kuimarisha ushirikiano na taasisi zinazoshughilika na masuala ya sheria za ndani na nje ya nchi.
β Rais Samia ameendelea kuwa kielelezo kizuri cha haki kupitia Kampeni yake ya Msaada wa Kisheria na Mawakili wanashiriki kutoa huduma za sheria kwa wananchi. Pia, agizo la Rais Samia la Mawakili kuwa walinzi wa uchumi wa nchi kwa kutumia kalamu limeweka msingi wa Chama hiki na umesaidia kuboresha sheria kadhaa mfano Sheria ya Uwekezaji,β amesema Shayo.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mstaafu na Jaji wa Mahakama Kuu, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi amemshukuru Rais Mhe. Dkt. Samia kwa kuzindua Chama hicho mwaka 2022 na kusema β Chama hiki kama kilivyoanzishwa na malengo yake kitabaki kuwa Chama bora cha kitaaluma kwa sababu Serikali na mawakili walijipanga kuwa nacho na hili ni jeshi la kulinda uchumi wa nchi kwa sheria na kalamu,β
Mkutano huo uliohudhuriwa na Mawakili wa Serikali kutoka katika Wizara, Wakala na Taasisi za Serikali, Mashirika ya umma umeongozwa na Kauli mbiu β Utawala wa Sheria katika Utekelezaji wa Majukumu ya Serikaki ni Nguzo Muhimu katika Kufikia Malengo ya Dira ya Taifa ya MaendeleoΒ 2050βΒ
104 Comments
Interesting read! Do you have any tips for beginners on this?
Π°ΡΠΈΡΡΠΎΠ½ Ρ ΠΎΡΠΏΠΎΠΈΠ½Ρ ΡΠ΅ΠΌΠΎΠ½Ρ ΡΠ΅ΡΠ²ΠΈΡΠ½ΡΠΉ ΡΠ΅Π½ΡΡ ariston
kamagra en ligne: Acheter Kamagra site fiable – achat kamagra
vente de mΠΒ©dicament en ligne: Livraison rapide – pharmacie en ligne sans ordonnance pharmafst.com
cialis sans ordonnance: Acheter Cialis 20 mg pas cher – Acheter Cialis tadalmed.shop
Achat mΠΒ©dicament en ligne fiable: pharmacie en ligne sans ordonnance – pharmacie en ligne fiable pharmafst.com
pharmacies en ligne certifiΠΒ©es pharmacie en ligne pharmacie en ligne fiable pharmafst.shop
Acheter Kamagra site fiable: kamagra gel – achat kamagra
https://kamagraprix.com/# kamagra pas cher
pharmacie en ligne france livraison internationale: Livraison rapide – pharmacies en ligne certifiΠΒ©es pharmafst.com
pharmacie en ligne pas cher Pharmacies en ligne certifiees Pharmacie en ligne livraison Europe pharmafst.shop
Cialis en ligne: cialis prix – Cialis en ligne tadalmed.shop
Acheter Kamagra site fiable: kamagra pas cher – kamagra pas cher
https://kamagraprix.com/# kamagra oral jelly
Achetez vos kamagra medicaments: kamagra pas cher – kamagra livraison 24h
Kamagra Oral Jelly pas cher: Acheter Kamagra site fiable – kamagra oral jelly
Achat Cialis en ligne fiable Pharmacie en ligne Cialis sans ordonnance Tadalafil achat en ligne tadalmed.com
http://pharmafst.com/# Achat mΠΒ©dicament en ligne fiable
Pharmacie Internationale en ligne: Meilleure pharmacie en ligne – pharmacie en ligne sans ordonnance pharmafst.com
Tadalafil sans ordonnance en ligne: Achat Cialis en ligne fiable – Achat Cialis en ligne fiable tadalmed.shop
Cialis generique prix Achat Cialis en ligne fiable cialis generique tadalmed.com
http://kamagraprix.com/# Kamagra Commander maintenant
pharmacie en ligne france pas cher: Pharmacie en ligne France – pharmacies en ligne certifiΠΒ©es pharmafst.com
pharmacie en ligne livraison europe: Medicaments en ligne livres en 24h – Pharmacie Internationale en ligne pharmafst.com
Acheter Viagra Cialis sans ordonnance: Achat Cialis en ligne fiable – Acheter Cialis tadalmed.shop
kamagra gel kamagra oral jelly Achetez vos kamagra medicaments
https://tadalmed.shop/# Tadalafil 20 mg prix en pharmacie
Tadalafil achat en ligne: Cialis en ligne – Cialis sans ordonnance 24h tadalmed.shop
ΠΏΒ»Ρpharmacie en ligne france: Pharmacies en ligne certifiees – vente de mΠΒ©dicament en ligne pharmafst.com
https://tadalmed.shop/# Cialis generique prix
Pharmacie sans ordonnance Meilleure pharmacie en ligne pharmacie en ligne avec ordonnance pharmafst.shop
Cialis sans ordonnance pas cher: Acheter Cialis – cialis sans ordonnance tadalmed.shop
https://pharmafst.com/# pharmacie en ligne avec ordonnance
Pharmacie Internationale en ligne Pharmacie sans ordonnance pharmacie en ligne sans ordonnance pharmafst.shop
achat kamagra: kamagra livraison 24h – Kamagra pharmacie en ligne
Cialis en ligne: Cialis sans ordonnance pas cher – Cialis sans ordonnance 24h tadalmed.shop
Tadalafil 20 mg prix sans ordonnance: Cialis sans ordonnance pas cher – Tadalafil achat en ligne tadalmed.shop
achat kamagra: acheter kamagra site fiable – acheter kamagra site fiable
pharmacie en ligne france fiable: pharmacie en ligne – pharmacie en ligne france livraison internationale pharmafst.com
https://tadalmed.com/# Acheter Viagra Cialis sans ordonnance
kamagra 100mg prix: kamagra en ligne – achat kamagra
8qx4bo
pharmacie en ligne livraison europe: Livraison rapide – Pharmacie en ligne livraison Europe pharmafst.com
Tadalafil 20 mg prix en pharmacie Tadalafil 20 mg prix en pharmacie Cialis sans ordonnance 24h tadalmed.com
Pharmacie Internationale en ligne: Pharmacie sans ordonnance – pharmacies en ligne certifiΠΒ©es pharmafst.com
https://tadalmed.shop/# Cialis generique prix
Kamagra Oral Jelly pas cher: kamagra en ligne – Kamagra Oral Jelly pas cher
Cialis generique prix: Tadalafil achat en ligne – Cialis sans ordonnance pas cher tadalmed.shop
canadian pharmacy ed medications cross border pharmacy canada legitimate canadian mail order pharmacy
canadian pharmacy meds: ExpressRxCanada – online canadian pharmacy
trusted canadian pharmacy: Express Rx Canada – safe online pharmacies in canada
https://medicinefromindia.shop/# medicine courier from India to USA
buying drugs from canada Express Rx Canada canadian pharmacies that deliver to the us
best canadian pharmacy: Express Rx Canada – canadian pharmacy antibiotics
mexico pharmacy order online: mexican rx online – pharmacies in mexico that ship to usa
mexico pharmacy order online: Rx Express Mexico – mexico pharmacies prescription drugs
canadian pharmacy oxycodone Express Rx Canada vipps approved canadian online pharmacy
mexican online pharmacy: mexico drug stores pharmacies – mexico pharmacies prescription drugs
Medicine From India: Medicine From India – indian pharmacy online shopping
buying from online mexican pharmacy Rx Express Mexico mexican online pharmacy
canadian pharmacy world: Canadian pharmacy shipping to USA – canadian pharmacy online
legitimate canadian online pharmacies: ExpressRxCanada – prescription drugs canada buy online
https://expressrxcanada.com/# my canadian pharmacy
canadian pharmacy 1 internet online drugstore: best online canadian pharmacy – canadian family pharmacy
best online pharmacy india Medicine From India Medicine From India
mexico drug stores pharmacies: mexico drug stores pharmacies – medicine in mexico pharmacies
indian pharmacy: MedicineFromIndia – Medicine From India
https://rxexpressmexico.shop/# mexico pharmacies prescription drugs
top 10 online pharmacy in india: MedicineFromIndia – indian pharmacy online
Rx Express Mexico: RxExpressMexico – mexico drug stores pharmacies
Rx Express Mexico RxExpressMexico Rx Express Mexico
https://rxexpressmexico.com/# mexican rx online
mexico pharmacies prescription drugs: Rx Express Mexico – mexico pharmacies prescription drugs
Medicine From India: Medicine From India – indian pharmacy
https://medicinefromindia.com/# Medicine From India
canadian online pharmacy Canadian pharmacy shipping to USA best canadian pharmacy to order from
canadian pharmacy in canada: Express Rx Canada – canadian pharmacy ratings
canadian online pharmacy reviews: Canadian pharmacy shipping to USA – canadian pharmacy cheap
vavada Π²Ρ ΠΎΠ΄: Π²Π°Π²Π°Π΄Π° Π·Π΅ΡΠΊΠ°Π»ΠΎ – Π²Π°Π²Π°Π΄Π° ΠΊΠ°Π·ΠΈΠ½ΠΎ
Π²Π°Π²Π°Π΄Π° ΠΎΡΠΈΡΠΈΠ°Π»ΡΠ½ΡΠΉ ΡΠ°ΠΉΡ vavada Π²Ρ ΠΎΠ΄ vavada casino
pin up Π²Ρ ΠΎΠ΄: ΠΏΠΈΠ½ Π°ΠΏ ΠΊΠ°Π·ΠΈΠ½ΠΎ – pin up Π²Ρ ΠΎΠ΄
pinup az pin up az pin-up
Π²Π°Π²Π°Π΄Π°: Π²Π°Π²Π°Π΄Π° ΠΎΡΠΈΡΠΈΠ°Π»ΡΠ½ΡΠΉ ΡΠ°ΠΉΡ – vavada Π²Ρ ΠΎΠ΄
pin up azerbaycan: pin up az – pinup az
Π²Π°Π²Π°Π΄Π° ΠΊΠ°Π·ΠΈΠ½ΠΎ Π²Π°Π²Π°Π΄Π° ΠΎΡΠΈΡΠΈΠ°Π»ΡΠ½ΡΠΉ ΡΠ°ΠΉΡ Π²Π°Π²Π°Π΄Π° ΠΊΠ°Π·ΠΈΠ½ΠΎ
vavada: Π²Π°Π²Π°Π΄Π° ΠΎΡΠΈΡΠΈΠ°Π»ΡΠ½ΡΠΉ ΡΠ°ΠΉΡ – Π²Π°Π²Π°Π΄Π°
ΠΏΠΈΠ½ Π°ΠΏ ΠΊΠ°Π·ΠΈΠ½ΠΎ ΠΏΠΈΠ½ Π°ΠΏ Π·Π΅ΡΠΊΠ°Π»ΠΎ pin up Π²Ρ ΠΎΠ΄
ΠΏΠΈΠ½ Π°ΠΏ ΠΊΠ°Π·ΠΈΠ½ΠΎ: ΠΏΠΈΠ½ Π°ΠΏ Π²Ρ ΠΎΠ΄ – ΠΏΠΈΠ½ Π°ΠΏ Π²Ρ ΠΎΠ΄
https://pinuprus.pro/# ΠΏΠΈΠ½ Π°ΠΏ ΠΊΠ°Π·ΠΈΠ½ΠΎ
ΠΏΠΈΠ½ Π°ΠΏ Π²Ρ ΠΎΠ΄: ΠΏΠΈΠ½ Π°ΠΏ ΠΊΠ°Π·ΠΈΠ½ΠΎ ΠΎΡΠΈΡΠΈΠ°Π»ΡΠ½ΡΠΉ ΡΠ°ΠΉΡ – ΠΏΠΈΠ½ Π°ΠΏ Π²Ρ ΠΎΠ΄
Π²Π°Π²Π°Π΄Π° ΠΎΡΠΈΡΠΈΠ°Π»ΡΠ½ΡΠΉ ΡΠ°ΠΉΡ vavada casino vavada Π²Ρ ΠΎΠ΄
http://pinuprus.pro/# ΠΏΠΈΠ½Π°ΠΏ ΠΊΠ°Π·ΠΈΠ½ΠΎ
ΠΏΠΈΠ½ Π°ΠΏ ΠΊΠ°Π·ΠΈΠ½ΠΎ ΠΎΡΠΈΡΠΈΠ°Π»ΡΠ½ΡΠΉ ΡΠ°ΠΉΡ: ΠΏΠΈΠ½ Π°ΠΏ Π·Π΅ΡΠΊΠ°Π»ΠΎ – ΠΏΠΈΠ½Π°ΠΏ ΠΊΠ°Π·ΠΈΠ½ΠΎ
Π²Π°Π²Π°Π΄Π° ΠΎΡΠΈΡΠΈΠ°Π»ΡΠ½ΡΠΉ ΡΠ°ΠΉΡ: vavada casino – vavada
pin-up: pin-up casino giris – pin-up
ΠΏΠΈΠ½ Π°ΠΏ ΠΊΠ°Π·ΠΈΠ½ΠΎ ΠΎΡΠΈΡΠΈΠ°Π»ΡΠ½ΡΠΉ ΡΠ°ΠΉΡ ΠΏΠΈΠ½ Π°ΠΏ Π·Π΅ΡΠΊΠ°Π»ΠΎ ΠΏΠΈΠ½Π°ΠΏ ΠΊΠ°Π·ΠΈΠ½ΠΎ
vavada casino: Π²Π°Π²Π°Π΄Π° ΠΎΡΠΈΡΠΈΠ°Π»ΡΠ½ΡΠΉ ΡΠ°ΠΉΡ – Π²Π°Π²Π°Π΄Π°
ΠΏΠΈΠ½ Π°ΠΏ ΠΊΠ°Π·ΠΈΠ½ΠΎ ΠΎΡΠΈΡΠΈΠ°Π»ΡΠ½ΡΠΉ ΡΠ°ΠΉΡ: ΠΏΠΈΠ½ Π°ΠΏ Π²Ρ ΠΎΠ΄ – ΠΏΠΈΠ½Π°ΠΏ ΠΊΠ°Π·ΠΈΠ½ΠΎ
pin up Π²Ρ ΠΎΠ΄: ΠΏΠΈΠ½ Π°ΠΏ ΠΊΠ°Π·ΠΈΠ½ΠΎ ΠΎΡΠΈΡΠΈΠ°Π»ΡΠ½ΡΠΉ ΡΠ°ΠΉΡ – ΠΏΠΈΠ½ Π°ΠΏ ΠΊΠ°Π·ΠΈΠ½ΠΎ
vavada Π²Ρ ΠΎΠ΄ vavada Π²Ρ ΠΎΠ΄ vavada Π²Ρ ΠΎΠ΄
Π²Π°Π²Π°Π΄Π°: vavada – vavada casino
vavada: Π²Π°Π²Π°Π΄Π° – vavada casino
Π²Π°Π²Π°Π΄Π° ΠΎΡΠΈΡΠΈΠ°Π»ΡΠ½ΡΠΉ ΡΠ°ΠΉΡ: Π²Π°Π²Π°Π΄Π° ΠΎΡΠΈΡΠΈΠ°Π»ΡΠ½ΡΠΉ ΡΠ°ΠΉΡ – vavada Π²Ρ ΠΎΠ΄
vavada Π²Π°Π²Π°Π΄Π° ΠΊΠ°Π·ΠΈΠ½ΠΎ Π²Π°Π²Π°Π΄Π° Π·Π΅ΡΠΊΠ°Π»ΠΎ