WACHEZAJI YANGA WAFANYIWA VIPIMO VYA MOYO KABLA YA KUANZA MSIMU MPYA WA LIGI
Daktari bingwa wa moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)Henry Mayala akimpima jinsi moyo unavyofanya kazi mchezaji wa timu ya mpirawa miguu ya Yanga wakati wachezaji wa timu hiyo walivyofika JKCI jana kwa ajiliya kufanyiwa uchunguzi wa magonjwa ya moyo ikiwa ni maandalizi ya kuanza kwamsimu mpya wa ligi na mashindano ya kimataifa ya […]
Read More